Waziri Mstaafu wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu amewahimiza Viongozi wa Dini Mkoani Mara  kuwahamasisha Waumini wao kushir…Waziri Mstaafu wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu amewahimiza Viongozi wa Dini Mkoani Mara kuwahamasisha Waumini wao kushir…

Waziri Mstaafu wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu amewahimiza Viongozi wa Dini Mkoani Mara kuwahamasisha Waumini wao kushiriiki kupiga Kura Katika Uchaguzi wa Oktoba 29.

Nyalandu amekutana na Viongozi hao wa Dini Mkoani Mara ikiwa Ni muendelezo wa Kukutana na Makundi mbalimbli Katika Mikoa ya Kanda ya ziwa.

Kwa upande wake Sheikh wa Mkoa wa Mara amesema suala la Amani ni la Msingi,hivyo wanapaswa kusisitiza Wakati Wote ili nchi ivuke salama.

#StarTvUpdate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *