Zikiwa zimesalia siku 13 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Tanzania, baadhi ya viongozi wa watu wenye ulemavu wilayani Morogoro wamesisitiza umuhimu wa kuwepo kwa mazingira rafiki yatakayowawezesha kushiriki kupiga kura bila vikwazo.
AzamTVPdates
Mhariri : John Mbalamwezi