#CAFCC Kocha wa Azam FC, Florent Ibenge anasema kilichofanywa na Pascal Msindo, siyo kipya kwake….. lakini Kocha wa KMKM SC anaeleza kilichowaangusha na kusema wanajipanga kwa mchezo wa marudiano…
FT: KMKM SC 0-2 Azam FC
Burudani zinaendelea LIVE #AzamSportsHD
#CAFCC #CAFConfederationCup #KMKMSC #AzamFC #KMKMAzamFC