#CAFCL Kocha wa Silver Strikers, Chikondi Kamanga anafichua kilichompa ushindi akisema kipindi cha kwanza mpango wao ulikuwa ni ...

#CAFCL Kocha wa Silver Strikers, Chikondi Kamanga anafichua kilichompa ushindi akisema kipindi cha kwanza mpango wao ulikuwa ni kuwanyima Yanga nafasi ya kucheza, na wakafanikiwa…..lakini kipindi cha pili waliingia na malengo ya kutumia madhaifu ya Yanga.. wakafanikiwa pia…

Kocha Kamanga anasema licha ya ushindi anawaheshimu Yanga na anatambua ukubwa wao na ubora wao akisema “…Yanga ni timu inayojua inachokifanya”

Kocha anasema mechi bado haijamalizika… “…bado kipindi cha pili”

FT: Silver Strikers 1-0 Yanga SC

#CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #YangaSC #YangaMalawi #SilverStrikers #SilverSrikersYanga

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *