#HABARI: Mgombea wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania kupuuza upotoshaji unaoenezwa kwenye Mitandao ya kijamii kuhusu uchapishaji wa fedha mpya kutokana na serikali kuishiwa fedha, akisema kwasasa Serikali ina akiba ya zaidi ya Trilioni 16 na hakuna nchi yoyote duniani yenye mtambo wake binafsi wa uchapishaji wa fedha.

Mwigulu ametoa kauli wakati wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM huko Wilayani Mpanda Mkoani Katavi kwenye vya Azimio, akiwaomba Watanzania kujiepusha na wote wanaoelekeza mambo mabaya dhidi ya Tanzania.

•Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *