#HABARI: Shirikisho la watu Wenye ulemavu mkoani Tanga, limeiomba Tume Huru ya Uchaguzi, kuhakikisha inaboresha vituo vya kupiga kura, kwa kuweka vifaa na miundombinu rafiki, ili waweze kutumia haki yao ya msingi kuchagua kiongozi wanayemtaka.

Wakizungumza katika Wilaya tofauti mkoani Tanga Wenyeviti wa shirikisho hilo wamesema, Tume inabidi kuboresha mazingira ya upigaji kura kwa sababu chaguzi zilizopita walikutana na changamoto

•Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *