#HABARI: Viongozi wa taasisi za dini kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika mashariki, wamefanya Ibada ya maalumu ya kuziombea nchi hizo amani, na wameziomba serikali za nchi hizo kuongeza nguvu, kuwajengea Vijana misingi ya kuwawezesha kufanya shughuli halali, za kuwapatia kipato bila kuvunja sheria, katika hafla hiyo Vijana kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Burundi wamewaasa vijana wa Tanzania kuipenda nchi yao na kuhakikisha uchaguzi hauwi chanzo cha kuharibu amani.
•Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania