KUTOKA BURUNDI | “…tunathamini vilabu vyote vinavyoshiriki mashindano haya….tunaamini tutatoka na ushindi…..”
Hii ni kauli ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ikizungumzwa na mjumbe wa kamati ya utendaji, James Mhagama, ambaye ndiye mkuu wa msafara wa Singida Black Stars nchini Burundi.
Singida BS iko nchini Burundi kukiwasha dhidi ya Flambeou de Centere Jumapili hii 19/10/2025 saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports4HD
#CAFCC #CAFConfederationCup #SingidaBlackStars #FlambeauDeCentere