KUTOKA BURUNDI | “…waende wakabebe hilo kombe”
Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Gelasius Byakanwa amewatakia kheri Singida Black Stars kwenye mchezo wao wa kesho dhidi ya Flambeau de Centere, akitamani wafike mbali zaidi hata kulibeba kombe lenyewe “…ili kukata ngebe za hawa wengine”.
Balozi anasema Singida wana uwezo wa kushinda ubingwa huo, akichukulia kumbukumbu ya ubingwa #CECAFAKagameCup2025 walioupata hivi karibuni.
Singida BS iko nchini Burundi kukiwasha dhidi ya Flambeou de Centere Jumapili hii 19/10/2025 saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports4HD
#CAFCC #CAFConfederationCup #SingidaBlackStars #FlambeauDeCentere