Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imeeleza kuwa nauli ya mabasi ya mwendo wa haraka itaendelea kuwa shilingi 750 hadi pale watakapojiridhisha kuwa changamoto zote za usafiri huo zimekwisha. Baada ya hapo, nauli hiyo itapandishwa na kufikia shilingi 1,000.

Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa LATRA wakati wa ziara ya kukagua majaribio ya safari za mabasi hayo yaliyofanyika Mbagala, Dar es Salaam.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *