#MICHEZO: Rais wa Yanga Eng. Hersi Said, amezindua matawi matatu mapya ya wanachama wa Yanga nchini Malawi katika ukumbi wa kimataifa wa Bingu, ambapo amewaeleza wanachama malengo yao makubwa walionayo Kimataifa msimu huu.
•Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania