#MICHEZO: Yanga leo wanacheza dhidi ya timu ya Silver Strikers ya Malawi katika mchezo wa hatua ya pili ya ligi mabingwa barani Afrika.

Ambapo Rais wa Yanga Eng Hersi Said ameweka wazi kuhusu uamuzi wa kumleta kocha mpya msaidizi kutoka Malawi Patrick Mabeid.

Hersi amesema kuwa ni uamuzi uliotokana na utafiti mkubwa, na hajawahi kuyumba kwenye hilo

@hoseamchopa

•Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *