#MICHEZO: Zimesalia dakika kadhaa kabla ya Yanga kucheza dhidi ya Silver Strikers ya Malawi katika uwanja wa Bingu Lilongwe Malawi ambapo ni saa 9 kwa saa za Malawi na saa 10 za Afrika Mashariki.

Kuelekea mchezo huo Yanga wamejipigia dua kali ili wasirudi watupu Malawi.

Pia Matawi matatu ya Yanga Malawi ambayo yamezinduliwa Leo wametoa zawadi ya Kuku na Mbuzi.

•Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *