Mwili wa Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya, Raila Odinga ulivyowasili mjini Kisumu kwa ajili ya kuagwa.
Umati mkubwa wa watu umejitokeza kushiriki shughuli ya kuuaga mwili huo, huku taarifa zikisema watu watano tayari wamefariki dunia katika kipindi hiki cha maombolezo kutokana na sababu mbalimbali.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi