SILVER STRIKERS vs YANGA: Mchambuzi wa soka @godlisten_muro7 auchmabua kwa undani mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Silver Strikers dhidi ya Yanga SC.
Muro anasema Yanga hawakuyatarajia matokeo haya.
FT: Silver Strikers 1-0 Yanga SC
#CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #YangaSC #YangaMalawi #SilverStrikers #SilverSrikersYanga