SILVER STRIKERS vs YANGA: Mtangazaji wa soka @ngodaalwatan amekutwa akiwa ‘bize’ katika eneo lake la kazi akijiandaa kwa ajili y...

SILVER STRIKERS vs YANGA: Mtangazaji wa soka @ngodaalwatan amekutwa akiwa ‘bize’ katika eneo lake la kazi akijiandaa kwa ajili ya kuitangaza mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Silver Strikers dhidi ya Yanga SC.

Kipi kimemfanya ajiandae kwa ukubwa huu…?

Mwenyewe Ngoda anafunga mengi hapa

Mechi ni saa m10:00 jioni LIVE #AzamSports2HD

#CAFCL #SilverStrikersVsYanga

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *