Viongozi wa dini mkoani shinyanga  kwa Kauli Moja wameazimia kuhamasisha wananchi kujitokeza kupiga kura ifikapo octoba 29 mwaka…Viongozi wa dini mkoani shinyanga kwa Kauli Moja wameazimia kuhamasisha wananchi kujitokeza kupiga kura ifikapo octoba 29 mwaka…

Viongozi wa dini mkoani shinyanga kwa Kauli Moja wameazimia kuhamasisha wananchi kujitokeza kupiga kura ifikapo octoba 29 mwaka huu ili kutimiza haki yao ya kikatiba ya kuchagua viongozi bora ambao watawaletea maendeleo kuanzia ngazi ya mitaa Hadi Taifa. Viongozi hao wamesema kila Mtanzania anawajibu wa kushiriiki zoezi hilo na kutunza amani kwa sababu amani ndio tunu na msingi wa maendeleo.

Aliyekuwa waziri wa Maliasili na Utalii LAZARO NYALANDU ameendelea kuwasihi viongozi wa dini,machifu na wazee kuliombea taifa hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga MBONI MHITA amewahakikisha wananchi wake kuwa siku ya kupiga kura itakuwa salama ,hivyo kila mmoja anapaswa kushiriiki zoezi hilo linalofanyika kila baada ya Miaka mitano.
#StarTvUpdate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *