#HABARI: Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango, ametoa wito kwa taasisi za dini kutambua wajibu wa kuendelea kusimama katika nafasi yake ya kuombea taifa, kufundisha imani ya kweli ya Mungu, kukemea maovu katika jamii, kufundisha maadili mema na kuwa kielelezo cha haki na uadilifu.
Makamu wa Rais ametoa wito huo mara baada ya kushiriki Ibada Maalum ya Jubilei ya Miaka 50 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Pare, iliyofanyika Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro na kwamba kwa njia hiyo Kanisa litachangia katika kujenga jamii inayowajibika na yenye uadilifu.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.