#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) Almas Kisabya, amesema kama wananchi wakimpigia kura za kutosha na kuiongoza nchi, katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Mwezi huu, atafufua mchakato wa Katiba mpya ili kuhakikisha nchi inaongozwa kwa misingi ya haki na usawa.

Kisabya amebainsha haya akiwa Soko Kuu Mjini Mafinga, wilayani Mufindi mkoani Iringa.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *