#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU) Bw.Majalio Kyara, amesema endapo atapata nafasi hiyo atahakikisha wakulima kwenye mashamba ya Chai Tarafa ya Amani wilayani Muheza mkoani Tanga, wanalipwa vizuri na kwa wakati stahiki zao kulingana na kazi wanazozifanya kwenye mashamba hayo ili waweze kujikwamua kiuchumi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *