#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Hajat Fatma Mwassa, ametoa onyo kwa Madereva wanaoendesha Magari yanayofanya kazi za kubeba abiria katika maeneo mbalimbali yaliyoko mkoani humo, wanaotumiwa kuwasafirisha watoto wadogo wanaotoroshwa kutoka majumbani mwao na kupelekwa kwenye maeneo yasiyojulikana hasa kwa lengo la kuwatumikisha.

Mkuu huyo wa Mkoa ametoa onyo hilo alipokutana na Madereva wanaoendesha magari yanayobeba abiria na mizigo ambao ni Wanachama wa Chama cha Madereva Tanzania (CHAMATA) na kwamba wanaofanya hivyo watachukuliwa hatua kali.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *