#HABARI: Wananchi wa Kata ya Ng’anzo wilayani Bukombe mkoani Geita, waliokuwa wakilazimika kutembea umbali wa zaidi ya Kilometa 20, kutafuta huduma za Mahakama wameondokana na adha hiyo baada ya serikali kukamilisha ujenzi wa Mahakama ya Mwanzo ya Ng’anzo ili kuhakikisha wananchi wanapa haki zao katika maeneo yao.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *