Kombe la Shirikisho Afrika
LEO, Singida BS watakuwa dimba la Prince Louis Rwagasore, jijini Bunjumbura wakicheza na Flambeau Du Centre.
Mechi hii itachezwa kuanzia saa 10:00 jioni, na kuruka mbashara kupitia AzamSports4HD.
Je, ni Singida BS ama Flambeau nani kuanza kuonja harufu ya hatua ya makundi?
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.
#CAFCC #SingidaBS