KUTOKA ESWATINI: Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally ametamba kuibuka na ushindi ugenini ili kuweza kujiweka ka...

KUTOKA ESWATINI: Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally ametamba kuibuka na ushindi ugenini ili kuweza kujiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika(CAFCL)

Ahmed aliyasema hayo jana wakati timu hiyo ikifanya mazoezi yake ya mwisho kuelekea mchezo huo.

Simba itacheza dhidi ya Nsingizini Hotspurs leo saa 10:00 jioni na itakuwa LIVE #AzamSports2HD

#CAFCL

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *