Mamia ya waombolezaji wakiongozwa na Rais wa Kenya, William Ruto wamejitokeza kwenye shughuli ya kuaga mwili wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya na kiongozi wa upinzani nchini humo, Raila Odinga.
Odinga alifariki dunia Oktoba 15, 2025 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu na anatarajiwa kuzikwa leo huko Bondo, Magharibi mwa Kenya.
š¹ AFP
ā @claud_jm
#AzamTVUpdates