Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Samia Suluhu Hassan ameahidi kujenga Barabara inayounganisha wilaya ya Tangany…Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Samia Suluhu Hassan ameahidi kujenga Barabara inayounganisha wilaya ya Tangany…

Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Samia Suluhu Hassan ameahidi kujenga Barabara inayounganisha wilaya ya Tanganyika Katavi na Wilaya ya Uvinza Kigoma Kwa kiwango Cha lami KM 250.4 ili kurahisisha shughuli za usafiri na usafirishaji baina ya Mikoa hiyo.

Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa ahadi huyo October 18/2025 akiwa Mpanda Mkoani Katavi wakati akiomba kura ambapo amesema ujenzi wa barabara hiyo umefikia asilimia 15.7 ikiwa inajengwa Kwa vipande vinne.

#StarTvUpdate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *