#MICHEZO: Baada ya jana timu ya Silver Strikers ya Malawi kuwafunga Yanga goli 1-0, imani ya wachezaji na benchi la ufundi imekuwa kubwa kuelekea mechi ya marudiano tarehe 25.
Hizi ni tambo za Golikipa wa zamani wa Silver Strikers, Bright Nyirongo na kiungo Felix Dumakude
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.