SILVER STRIKERS vs YANGA: Mchambuzi wa soka ambaye pia ni mhariri kwenye moja ya magazeti nchini, Rashid Kejo anasema Yanga jana ilionekana imechoka kama vile ilienda kwa basi nchini Malawi.
Kejo anasema Yanga ni kama hawakuwasoma vema wapinzani wao kabla ya mchezo wa jana.
Yanga ilipoteza kwa goli 1-0 dhidi ya Silver Strikers kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#SportsAM