SILVER STRIKERS vs YANGA: Mchambuzi wa soka na mhariri wa magazeti Clecence Kunambi anasema kilichowanyima Yanga magoli ni makosa binafsi ya wachezaji.
Kunambi amezitaja nafasi nne ambazo Yanga walizipata na kushika kuzitumia vema.
Yanga ilipoteza kwa goli 1-0 dhidi ya Silver Strikers kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#SportsAM