SPORTS AM | “Aliyetoa hili jina alikuwa anatokea kile kisiwa cha Mafia”
Mkuu wa Matangazo na Promosheni wa Mafia Boxing Promotion, Omari Cliton anasema kulikuwa na ‘mbilinge’ nyingi sana kwenye kupata jina la Mafia Boxing Promotion wakati wanaingia kwenye #Vitasa.
Cliton pia ameeleza sababu za kuwa na idadi kubwa ya mabondia kutoka Tanga,
Kwa upande mwingine Cliton amesema lengo lao lilikuwa ni kuhakikisha wanapata mechi za kimataifa kwa kuwaleta mabondia wa nje kuja kucheza nchini.
Imeandaliwa na @jairomtitu3
Mhariri: @allymufti_tz
#AzamSports #MafiaBoxing #OmariCliton