“Ajira kwenye sekta, kila eneo likikua maana yake linaleta ajira, kwa mfano miaka mi nne iliyopita tulikua na waongoza Utalii takribani 700, leo kuna waongoza Utalii Elfu sita” Dkt.Hassan Abbas -Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.