#CAFCC Singida Black Stars imewasili leo jijini Dar Es Salaam kutokea Bujumbura nchini Burundi kwenye mchezo wa Kombe la Shiriki...

#CAFCC Singida Black Stars imewasili leo jijini Dar Es Salaam kutokea Bujumbura nchini Burundi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Flambeau du Centre….

Mara baada ya kuwasili, kocha wa timu hiyo, Miguel Gamondi, amesema ana imani watafanya vizuri kwenye mechi ya marudinao na kufuzu hatua ya makundi, huku mlinzi wa kushoto Nickson Kibabage akifurahia kuanza na sare ugenini.

Katika hatua nyingine, afisa habari wa timu hiyo Hussein Massanza naye ametia neno akiwaita mashabiki kufurika kwenye Dimba la Azam Complex, Jumamosi hii..

#SingidaBlackStars

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *