Chama Cha MAKINI chini ya mgombea wake wa Urais, Ameir Hassan Ameir kimeahidi kutenga maeneo maalumu visiwani Zanzibar yatakayotumika kuwazika viongozi mashuhuri wa visiwa hivyo.
Ameir ametoa ahadi hiyo baada ya kuzuru kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Amani Karume Kisiwandui Unguja.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi