#HABAI: Zikiwa zimebaki siku chache kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, Makundi Maalum ya watu wenye ulemavu mkoani Singida, wameipongeza Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kwa kuweka mazingira wezeshi na rafiki kwa kutoa mafunzo jumuishi kwa makundi hayo, ili waweze kushiriki kwenye uchaguzi Oktoba 29, mwaka huu.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.