#HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam Oktoba 22, 2025 siku ya Jumatano saa tatu kamili asubuhi inatarajia kutoa uamuzi juu ya mapingamizi manne ya kupinga uhalali wa shahidi wa tatu wa Jamhuri yaliyotolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Bwana Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini ikiwamo pingamilizi la uhahali wa kisheria wa shahidi huyo ambaye ni mtaalamu wa picha na video.

Uamuzi huo unatarajiwa kutolewa na jopo la majaji watatu wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru kwa kutoa ufafanuzi wa hoja hizo nne kisheria.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *