#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Itilima iliyopo mkoani Simiyu imemhukumu Saimon Nzumbi Magumba mwenye umri wa miaka thelethini na nane kifungo cha miaka thelathini jela kwa kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka kumi ambaye jina lake limehifadhiwa, huko katika Kijiji cha Lali kilichopo wilayani humo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *