#HABARI: Mgombea wa Ubunge Jimbo la Bukene kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Luhende, ameendelea na kampeni za kunadi sera kwa wakazi Kata ya Semembela iliyopo katika jimbo hilo akiahidi kuwa endapo atachaguliwa ataboresha sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya afya, kilimo na miundombinu ya barabara kwa ajili ya wakazi wa eneo kujikwamua kiuchumi.

•Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *