#HABARI: Wagonjwa kutoka maeneo tofauti ndani na nje ya mkoa wa Tanga wameridhishwa na maboresho yaliyofanywa na serikali katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tanga bombo na kusababisha kuwapunguzia gharama wagonjwa ya kufuata huduma nyingine katika hospitali ya taifa ya Muhimbili na KCMC iliyopo mjini Moshi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.