#HABARI: Watu wawili wafanyakazi wa Uwanja wa Ndege wamefariki dunia wakati wakipatiwa matibabu hospitalini baada ya ndege ya mizigo kuteleza kwenye njia ya kurukia ya Uwanja wa Ndege wa Hong Kong na kutumbukia baharini.
Ndege ya Emirates EK9788, inayofanya kazi ya kusafirisha mizigo, ilikuwa ikiwasili kutoka Dubai ilipogonga gari kwenye barabara ya kaskazini.
Wafanyakazi wawili wa uwanja huo wa ndege waliokuwa ardhini walianguka baharini na waliokolewa lakini baadaye walifariki dunia wakiwa hospitalini.
•Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania