ISSA JUMA ABUSHIRI: Tazama akili, uwezo pamoja na ufundi wa kimpira kutoka kwa mchezaji chipukizi wa timu ya Fountain Gate Issa Abushiri maarufu kama Chuga boy ambaye alitakata kwenye mchezo dhidi ya Dodoma jiji Fc.
Mechi ilitamatika kwa Fountain Gate kushinda bao 1-0 dhidi ya Dodoma jiji Fc.
Imeandikwa na @davidkyamani
#NBCPremierLeague #PL #Chungaboy #IssaAbushiri #FountainGate