Jeshi la polisi limesema litatumia mfumo mpya wa kidijitali katika ukaguzi wa vyombo vya moto katika wiki ya nenda kwa usalama barabarani, utakaorahisisha mchakato mzima wa ukaguzi wa vyombo hivyo vya moto.

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Afande Rehema Shaibu ameeleza zaidi kuhusu mfumo huo.

✍Juliana James
Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *