KILA LA HERI TWIGA STARS
Jumatano hii timu ya taifa ya wanawake Twiga Stars itakuwa dimba la Azam Complex wakicheza na Ethiopia, kuwania kufuzu fainali za AFCON kwa wanawake #WAFCON
Mechi hii itachezwa kuanzia saa 11:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports4HD.