Kiongozi Mkuu wa Iran, Khamenei, apinga madai kuwa Marekani imeharibu uwezo wa nyuklia wa nchi yake
Tehran na Washington zilishiriki katika duru tano za mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya moja kwa moja ambayo yalimalizika kufuatia vita vya anga vya siku 12 mnamo Juni ambapo Israel na Mareknai zilishambulia kwa mabomu maeneo ya nyuklia ya Iran.