Magonjwa yasiyoambukizwa, yakiwemo ya moyo na kisukari, yameelezwa kuendelea kushamiri mkoani Lindi.
Kutokana na hali hiyo, wakazi wa mkoa huo wameaswa kujitokeza kwa wingi kupata vipimo na matibabu ya kibingwa katika Hospitali ya Rufaa ya Sokoine, ambayo inaendesha kambi maalum ya madaktari bingwa wa magonjwa mbalimbali.
✍Omari Mikoma
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates