MASHABIKI WAMKANA FOLZ LIVE “HATUMJUI”

#HABARI: Mashabiki wa Yanga SC wamemkataa katakata aliyekuwa kocha wao Romain Folz na wamesema asingefukuzwa safari yao ingekuwa ngumu huku wakidai hawamjui kabisa, hawajawahi kumuona!

Mashabiki hao wametoa maneno hayo mara tu baada ya msafara wa Yanga kuanza safari kutoka Malawi wakiwa Rungwe leo majira ya saa 7:25 mchana.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *