MBEYA CITY vs TZ PRISONS: Kocha wa Mbeya City, Malale Hamsini anasema wameanza kuuzoea uwanja wa KMC Complex kwasababu hivi karibuni waliutumia uwanja huo kucheza dhidi ya KMC.
Kocha huyo anasema kwa sasa hawana hofu sana na uwanja huo.
Kwa upande wa mchezaji Sudi Dondola anasema wapo na morali ya kutosha kwa ajili ya mchezo huo wa kesho.
Mechi itapigwa dimba la KMC Complex, saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#NBCPremierLeague #NBCPL