Mgombea Urais Chama Cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, amesema endapo atapewa ridhaa ya kuwa Rais wa Tanzania atahakikisha anapambana dhidi ya ufisadi hatua ambayo itasaidia kuleta maendeleo kwa wananchi.

✍Alpha Jenipher
Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *