Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha National Reconstruction Alliance (NRA), Hassan Kisabya Almas, ameahidi kuwafutia kodi wafanyabiashara wenye mtaji chini ya milioni 20 na kuwezesha mfumo mmoja unaosomana na Serikali, ili kukomesha upotevu wa fedha katika mashirika ya umma.

✍Alpha Jenipher
Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *