Mgombea Urais wa Chama cha UMD, Mwajuma Mirambo ameahidi serikali atakayoiunda iwapo atashinda kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba itatoa bure huduma za afya na elimu kwa kugharamikiwa kupitia matumizi bora ya rasilimali za nchi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *