Mgombea Urais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman wa Chama cha ACT Wazalendo ameahidi kuzifanyia kazi kwa vitendo ahadi anazozitoa katika mikutano ya kampeni kwa aijli ya maendeleo ya wananchi na kuwahimiza wananchi hao kujitokeza kwa wingi kupiga kura kama anavyoeleza Aisha Haji.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi